Ratiba ta vpl ya yanga

Post a Comment. Mwanzo Kuhusu Mawasiliano Ramani ya Tovuti. Thursday, August 25, Katika mechi ya Simba dhidi ya Ndanda FC tulishuhudia Simba ikipata ushindi wa magoli 3 — 1 huku winga mpya wa Simba, Shiza Kichuya akifanikiwa kufunga bao zuri kuhitimisha karamu ya magoli 3. Kule Morogoro, Mtibwa Sugar wakiwa uwanja wa nyumbani waliduwazwa na Ruvu Shooting baada ya kupokea kichapo ch goli moja bila.

Akizungumza siku moja baada ya mechi hiyo Kocha wa Mtibwa Sugar Salum Mayanga alisema kipigo hicho kimewazindua usingizini hivyo wanajipand zaidi kwa mechi zijazo. Azam FC ilinusurika kupokea kipigo kutoka kwa African Lyon ambapo John Bocoo aliisawazishia timu hiyo katika dakika za majeruhi.

Nae kocha mkuu wa klabu ya Azam FC ambayo mwaka huu imefanikiwa kuchukua Ngao ya Jamii alisema kuwa anahitaji muda zaidi ili kukisuka kikosi chake na kucheza kupitia mifumo wanayoendelea kuwafundisha wachezaji wa timu hiyo.

Mechi ya Stand United na Mbao FC timu iliyopanda daraja haikufanikiwa kutoa mshindi na kule Songea timu ya Majimaji ilikubali kupokea kichapo cha goli 1 — 0 kutoka kwa Tanzania Prisons. Msimu uliopita mechi mbili za ugenini na nyumbani za timu hizi ziliisha kwa ushindi wa goli 1 bila huku kila timu ikitamba kwenye uwanja wake. Kwenye picha baadhi ya wafanyakazi kutoka Idara ya Masoko ya Vodacom Tanzania wakiongozwa na Mkuu wa Idara hiyo Nandi Mwiyombella katikati walifika kushuhudia mechi kati ya Simba na Ndanda.

Winols mhhauto

Vinara wa Ligi Kuu ya Vodacom msimu uliopita hawakucheza mechi yao ya ufanguzi ili kupata nafasi ya kujiandaa na mechi ya Shirikisho dhidi ya TP Mazembe. Yanga itaanza kampeni ya msimu huu hapo Jumamosi kwa kucheza na African Lyon.

Endele Kufuata kurasa zetu kwenye mitandao ya kijamii ukitumia VPL uweze kutabiri matokeo ya mechi na kupata taarifa zaidi kuhusu ligi kuu ya Vodacom. Pia kupata live match updates kila wiki. Share to Twitter Share to Facebook. Newer Post Older Post. Blogger Comments Facebook Comments.

1sz fe engine manual pdf

Subscribe to: Post Comments Atom. Popular Archive Category.YANGA inasafisha kikosi chao na panga linalopita halitawaacha salama mastaa wengi na katika wachezaji wa kigeni watabaki watano pekee. KWA sasa hakuna mechi zinazochezwa kwa sababu ya janga la corona na ndicho kipindi ambacho baadhi. NDIO janga la corona limeivuruga dunia. Maisha yamekuwa ni ya tahadhari kwa kila unachokifanya.

Hilo panga la Yanga tema mate chini YANGA inasafisha kikosi chao na panga linalopita halitawaacha salama mastaa wengi na katika wachezaji wa kigeni watabaki watano pekee.

Simba yabadili mkakati wa usajili SIMBA imeamua kubadilisha mkakati wake wa usajili baada ya mpango wa kumnasa kiungo mkabaji. Nini Morrison? Yanga ikivuta hawa tu,freshi!

YANGA mpo? Kama bado mnataka mashine yenye makali kama ya Bernard Morrison, wala msipate tabu. Photo gallery.

Mabondia wazugaji kukiona. Straika aingiza njeve kocha AFC Leopards. Aubameyang aambiwa aondoke Arsenal fasta Kimenuka huko Barcelona Kocha wa Liverpool akutwa na corona. Ighalo awataja watatu Man United. Sio kazi. Kala Jeremiah kuja na Sauti ya Vijana. Photo gallery Matukio ya ufunguzi Ligi Kuu Bara. Photo gallery Tusker Vs Yanga.About Unknown Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design.

The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.

Ligi Kuu 2019-2020

Chapisha Maoni. Home About Contact August 8.

The political divide read theory answers

Leicester City vs Sunderland. Manchester United vs Tottenham Hotspur. Newcastle United vs Southampton. Norwich City vs Crystal Palace. West Bromwich Albion vs Manchester City.

ratiba ta vpl ya yanga

August Aston Villa vs Manchester United. Swansea City vs Newcastle United. Tottenham Hotspur vs Stoke City. Watford vs West Bromwich Albion. West Ham United vs Leicester City. Crystal Palace v Aston Villa.

ratiba ta vpl ya yanga

Leicester City v Tottenham Hotspur. Manchester United v Newcastle United.

Tazama Matokeo/Misimamo na Ratiba ya mechi zijazo ligi kuu Tanzania bara

West Bromwich Albion v Chelsea. West Ham United v Bournemouth. Bournemouth v Leicester City.

Ratiba Ya Ligi Kuu Bara Vpl 2019 2020

Stoke City v West Bromwich Albion. Swansea City v Manchester United. September Crystal Palace v Manchester City.

Istriku di nodai cerita dewasa

Leicester City v Aston Villa. Manchester United v Liverpool. Sunderland v Tottenham Hotspur. West Bromwich Albion v Southampton. West Ham United v Newcastle United.Post a Comment. Mwanzo Kuhusu Mawasiliano Ramani ya Tovuti. Wednesday, August 19, Pazia la Ligi Kuu inayorushwa moja kwa moja na Televisheni ya Azam, litafunguliwa rasmi Agosti 27, mwaka huu kwa timu zote 16 kuingia viwanjani. Share to Twitter Share to Facebook. Newer Post Older Post. Blogger Comments Facebook Comments.

Subscribe to: Post Comments Atom. Popular Archive Category. Kiungo mshambuliaji wa Yanga SC, Mghana Bernard Morrison akia amejipumzisha sebuleni kwake baada ya mazoezi ya viungo katika kipindi hiki Bleacher Report - Front Page. Sule believes Ighalo will Sport Mail Online. BBC Sport - Sport. Borussia Dortmund. Ihr vermisst unser Stadion genauso sehr wie wir? Dann seid Ihr hier richtig! Thomas Partey, Adama Traore and Man City's need to find the man to help beat the opposition press - In modern football, scores of teams have adopted a brand of high-octane, high-press football.

Many sides now press their opponents high up the pitch, aimin The New Times - Home. Arsenal FC News Feed. Kim Kallstrom In my own words - Hey, remember me? Double J Blogspot. The Sun News. Guber election. Young Africans SC. Sports - Ahram Online. Liverpool FC. Azam Home Swahali.Ligi Kuu. Kikosi kinachotisha, unakumbuka nini zaidi hapo?

Pata Bando la Intaneti kutoka Mtandao wetu. Kiongozi Yanga: Simba imepigwa na mwekezaji. Papy Tshishimbi ana nafasi kikosi cha Simba- Haji Manara. Haji Manara: Yanga walikuja kupigana uwanjani. Usajili wao ulichelewa huenda wangeziokoa timu zao zaidi. Huu ndio usajili bora VPL dirisha dogo?

Kroose: Ningekua mchezaji wa Man United! Coastal Union yamuuza mshambuliaji wake Ulaya! Kiungo wa Yanga atimkia Ulaya! Mabingwa Afrika. CAF yakubali rekodi ya Simba Ligi ya mabingwa. Kombe la Dunia. Tanzania kuwajua wapinzani wake leo! Mapinduzi Cup. Simba wamekosa kombe la Mapinduzi kwa sababu hizi. Yanga sasa wasema walidhamiria kushinda Mapinduzi. Home Msimamo Ligi Kuu Sambaza kwa marafiki Tafadhali tumia viungo rasmi kusambaza habari zetu.

Facebook, Twitter au Barua Pepe. Kama utataka kutumia habari zetu tuandikie kupitia habari kandanda. Simba SC. Azam FC. Yanga SC. Namungo FC. Coastal Union FC. Polisi Tanzania. Tanzania Prisons. Kagera Sugar FC. Biashara FC.Mchezo wa Simba SC dhidi ya Stand United umerudishwa nyuma hadi tarehe 2 ya mwezi ujao badala ya Februari 4 ilivyo pangwa hapo awali ambao utachezwa katika dimba la uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Kurudishwa nyuma kwa mchezo huo ni kufuatia klabu ya Simba kupata nafasi ya kujiandaa na mchezo wake wa michuano ya kombe la Shirikisho dhidi ya Al Masry ambao unatarajiwa kupigwa Februari 7. Hasimu wake Yanga SC haitashuka katika dimba la Jamhuri Morogoro kuikabili Mtibwa Sugar Februari 3 kama ilivyopangwa hapo hawali na badala yake tarehe ya mchezo huo itatajwa hapo baadaye.

Msimamo wa ligi kuu soka Tanzania Bara unaonyesha Simba SC inaongoza kwa kuwa na pointi 45 nafasi ya pili ikishikiliwa na Yanga SC yenye alama 37 wakati ya tatu ikiwa ni Azam FC yenye jumla ya pointi Related Articles. Mpasuko watokea ndani ya Barcelona, wajumbe 6 wa bodi wajiuzulu kisa Rais wa klabu na Virusi Corona 3 days ago. Messi akanusha jambo hili, Kylian Mbappe ashauriwa kujiunga na Real Madrid 3 days ago.

Check Also. Corona Tanzania: Vifo vitatu, wagonjwa wafikia 32 3 days ago. Close Search for. Bongo5 FREE.Kwa mujibu wa ratiba hiyo iliyotolewa juzi na Shirikisho la Soka Tanzania TFFinaonesha Simba na Yanga zitacheza mechi saba nyumbani kwenye mzunguko wa kwanza, huku zikicheza mechi saba ugenini mzunguko wa pili.

Mabingwa watetezi wa taji hilo Azam, wao wana unafuu zaidi kwani kati ya mechi zao 13 za mzunguko wa kwanza ni mechi sita pekee watakazocheza nyumbani, huku mechi saba zilizobakia wakicheza ugenini. Lakini kwenye mzunguko wa pili, watacheza mechi saba nyumbani na sita ugenini na kuziachia hali ngumu Simba na Yanga, zitakazocheza mechi saba ugenini na sita nyumbani.

Ratiba hiyo inaonyesha Yanga inayonolewa na Mbrazil Marcio Maximo, itaanza mechi yake ya kwanza ugenini kwa kucheza dhidi ya Mtibwa Uwanja wa Jamhuri, Morogoro, huku mechi ya mwisho ikimalizia ugenini kwa kucheza na Ndanda FC. Azam yenyewe itaanzia nyumbani mechi yake ya kwanza kwa kumenyana na Polisi Morogoro iliyopanda daraja, huku ikicheza nyumbani kwenye mechi yake ya mwisho kwa kucheza dhidi ya Mgambo JKT.

Simba iliyoshika nafasi ya nne msimu uliopita wa ligi, itaanzia nyumbani kwenye mechi ya kwanza kwa kukwaruzana na Coastal Union, huku ikimalizia ugenini mechi ya mwisho kwa kupambana na JKT Ruvu. Ligi hiyo inayotarajia kuanza rasmi Septemba 20 mwaka huu, itasimama kwa siku 26 baada ya mechi ya raundi ya tisa zitakazofanyika Novemba 16 mwaka huu, kupisha michuano ya Kombe la Chalenji na Kombe la Uhai, itaendelea tena Desemba 20 mwaka huu.

Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Corona yaondoa maisha ya Allen Garfield. D ammwagia sifa Wema Sepetu. Chynna Rogers afariki dunia. Virusi vya corona vyakosesha watu burudani msimu wa Pasaka. Corona yamliza Naomi Campbell kila siku. Ukitaka kupata mwenza sahihi anza kubadili mwenendo wako. Hifadhi Afrika zafungwa kuepuka nyani kuambukizwa corona. Usiwe mwepesi kutoa ushauri kwa mtu. All Michezo Kimataifa Michezo Kitaifa. Kocha Simba: Nataka ubingwa wa jasho.

Familia zatajwa kikwazo wanasoka wanawake kujifua likizo ya corona. Michezo Michezo Kitaifa. Please enter your comment!

ratiba ta vpl ya yanga

Please enter your name here. You have entered an incorrect email address! Haki zote zimeifadhiwa.


thoughts on “Ratiba ta vpl ya yanga

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *